News and Resources Change View → Listing

Career Opportunities UNHCR

https://www.unhcr.org/how-to-apply.htmlWatch this video tutorial on how to apply for an international vacancy or talent poolhttps://www.unhcr.org/career-opportunities.htmlWe offer careers, not just jobs, and…

Read More

Mhe. Maimuna Tarishi,  Balozi na Mwakilishi wa Kudumu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Umoja wa Mataifa, Geneva, afanya mazungumzo na Mhe. Jérôme Bonnafont, Balozi wa Ufaransa, Geneva

Mhe. Maimuna Tarishi,  Balozi na Mwakilishi wa Kudumu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Umoja wa Mataifa, Geneva, tarehe 21 Julai 2022 amekutana na kuwa na mazungumzo na Mhe. Jérôme Bonnafont, Balozi…

Read More

Mhe. Dkt. Damas Ndumbaro (Mb), Waziri wa Katiba na Sheria afanya mazungumzo na Bi. Michelle Bachelet, Kamishna Mkuu wa Haki za Binadamu

Leo tarehe 15 Julai 2022, Mhe. Dkt. Damas Ndumbaro (Mb), Waziri wa Katiba na Sheria akiwa ameambatana na Mhe. Maimuna Tarishi, Balozi na Mwakilishi wa Kudumu katika ofisi ya Umoja wa Mataifa Geneva, Uswisi na…

Read More

Mkutano Mkuu wa mwaka wa WIPO umefunguliwa leo tarehe 14 Julai 2022, Geneva Uswisi

Mkutano Mkuu wa mwaka wa WIPO umefunguliwa leo tarehe 14 Julai 2022, Geneva Uswisi. Katika picha ni Ujumbe wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania uliongozwa na Mhe. Maimuna K. Tarishi, Balozi na Mwakilishi wa…

Read More

Waziri wa Katiba na Sheria, Dkt. Damas Ndumbaro ameongoza kikao na Wataalam wa Haki za Binadamu wa Umoja wa Mataifa

*Serikali yazungumza na Wataalam wa Haki za Binadamu (Special Rapporteurs) wa Umoja wa Mataifa*Waziri wa Katiba na Sheria, Dkt. Damas Ndumbaro ameongoza kikao na Wataalam wa Haki za Binadamu (Special…

Read More

Mhe. Maimuna Tarishi, Balozi na Mwakilishi wa Kudumu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Umoja wa Mataifa, Geneva ampongeza Bi. Michelle Bachelet

Tarehe 29 Juni 2022, Mhe. Maimuna Tarishi, Balozi na Mwakilishi wa Kudumu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Umoja wa Mataifa, Geneva alimpongeza Bi. Michelle Bachelet kufuatia kumaliza kwa muda wake katika…

Read More