Recent News and Updates
Mhe. BaloziTarishi akutana na Rais wa Baraza la Haki za Binadamu
Tarehe 28 Aprili 2022, Mhe. Maimuna Tarishi, Balozi na Mwakilishi wa Kudumu Geneva alikutana na kufanya mazungumzo na Rais wa Baraza la Haki za Binadamu, Balozi Federico Villegas (Mwakilishi wa Kudumu wa Argentina).Pamoja na… Read More
Mhe. Balozi Tarishi akutana na Mshiriki wa Mkutano wa WTO kutoka Tanzania
Leo tarehe 12 Aprili 2022, Balozi na Mwakilishi wa Kudumu Geneva, Mhe. Maimuna Tarishi amekutana na kufanya mazungumzo na Bw. Victor Mutasi (kulia kwa Mhe. Balozi), Mtanzania ambaye yupo Geneva kushiriki Mkutano wa Vyuo Vikuu… Read More