News and Events Change View → Listing

Mhe. BaloziTarishi akutana na Rais wa Baraza la Haki za Binadamu

Tarehe 28 Aprili 2022, Mhe. Maimuna Tarishi, Balozi na Mwakilishi wa Kudumu Geneva alikutana na kufanya mazungumzo na Rais wa Baraza la Haki za Binadamu, Balozi Federico Villegas (Mwakilishi wa Kudumu wa…

Read More

Mhe. Balozi Tarishi akutana na Mshiriki wa Mkutano wa WTO kutoka Tanzania

Leo tarehe 12 Aprili 2022, Balozi na Mwakilishi wa Kudumu Geneva, Mhe. Maimuna Tarishi amekutana na kufanya mazungumzo na Bw. Victor Mutasi (kulia kwa Mhe. Balozi), Mtanzania ambaye yupo Geneva kushiriki…

Read More

Tanzania yahudhuria Mkutano wa Baraza la Haki za Binadamu

1. Tanzania yahudhuria Mkutano wa Baraza la Haki za Binadamu, ambapo Jamhuri ya Muungano wa Tanzania imefanyiwa tathmini ya Haki za Binadamu. 2. Waziri wa Katiba na Sheria Mhe. George Simbachawene (Mb.)…

Read More

Ubalozi washiriki maonyesho ya Umoja wa Mataifa

Ubalozi wa kudumu wa Jamhuri ya Muuungano wa Tanzania Umoja wa Mataifa Geneva imeshiriki katika Maonyesho ya Umoja wa Mataifa tarehe 27 Oktoba 2021 ambapo Ubalozi ulinadi bidhaa mbalimbali zinazozalishwa…

Read More