Watumishi wa Ubalozi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania  katika Umoja wa Mataifa, Geneva katika picha ya pamoja na vijana kutoka Tanzania walioshiriki mashindano ya ubunifu wa kutengeneza robot. Mashindano hayo yalifanyika Geneva, Uswisi tarehe 14 Oktoba 2022 ambapo vijana hao walishika nafasi ya pili.