Vijana sita kutoka Tanzania walioshiriki katika mradi wa uvumbuzi katika chuo cha École Polytechnique Féderale de Lausanne (Swiss Federal Institute of Technology Lausanne) kwa ufadhili wa Serikali ya Uswisi watembelea Ubalozi wa Kudumu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Geneva. Timu hiyo ya vijana inajishughulisha na kutengeneza vifaa vya tiba kwa ajili ya watoto njiti, akina mama wajawazito , meno bandia na vifaa vya kunyanyulia miili hospitalini.
Mhe. Maimuna Tarishi, Balozi na Mwakilishi wa Kudumu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Geneva katika picha ya pamoja na Bw. Emmanuel Mushi
Mhe. Maimuna Tarishi, Balozi na Mwakilishi wa Kudumu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Geneva katika picha ya pamoja na Bi. Amina Nyuri
Mhe. Maimuna Tarishi, Balozi na Mwakilishi wa Kudumu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Geneva katika picha ya pamoja na Bi. Rehema Saadan
Mhe. Maimuna Tarishi, Balozi na Mwakilishi wa Kudumu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Geneva katika picha ya pamoja na Bw. Abbas Mshinda
Mhe. Maimuna Tarishi, Balozi na Mwakilishi wa Kudumu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Geneva katika picha ya pamoja na Bw. Joshua Joas
Mhe. Maimuna Tarishi, Balozi na Mwakilishi wa Kudumu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Geneva katika picha ya pamoja na Bi. Sandra Sommi