Ubalozi wa kudumu wa Jamhuri ya Muuungano wa Tanzania Umoja wa Mataifa Geneva imeshiriki katika Maonyesho ya Umoja wa Mataifa tarehe 27 Oktoba 2021 ambapo Ubalozi ulinadi bidhaa mbalimbali zinazozalishwa nchini Tanzania.