Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Prof. Palamagamba John Kabudi (Mb) ahutubia katika Kikao cha 43 cha Baraza la Haki za Binadamu la Umoja wa Mataifa linaloendelea Geneva,nchini Uswisi ambalo linatarajiwa kumalizika March 20,2020 ambapo masuala kadhaa kuhusu haki za binadamu yanajadiliwa.

  • Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Prof. Palamagamba John Kabudi (Mb) akitoa hotuba ya Tanzania katika Kikao cha 43 cha Baraza la Haki za Binadamu la Umoja wa Mataifa linaloendelea Geneva,nchini Uswisi ambalo linatarajiwa kumalizika March 20,2020 ambapo masuala kadhaa kuhusu haki za binadamu yanajadiliwa.
  • Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Prof. Palamagamba John Kabudi (Mb) akipongezwa na Balozi wa kudumu wa Tanzania katika Umoja wa Mataifa, Balozi Maimuna Tarishi pamoja na baadhi ya Watumishi wa Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki mara baada ya kutoa hutuba katika Baraza la Haki za Binadamu la Umoja wa Mataifa, Geneva, Uswisi
  • Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Prof. Palamagamba John Kabudi (Mb) akipongezwa na baadhi ya viongozi wa Mataifa ya Afrika wanaohudhuria Mkutano wa Baraza la Haki za Binadamu la Umoja wa Mataifa linaloendelea Geneva,Uswisi