News and Events Change View → Listing

Mhe. Dkt. Damas Ndumbaro (Mb), Waziri wa Katiba na Sheria afanya mazungumzo na Bi. Michelle Bachelet, Kamishna Mkuu wa Haki za Binadamu

Leo tarehe 15 Julai 2022, Mhe. Dkt. Damas Ndumbaro (Mb), Waziri wa Katiba na Sheria akiwa ameambatana na Mhe. Maimuna Tarishi, Balozi na Mwakilishi wa Kudumu katika ofisi ya Umoja wa Mataifa Geneva, Uswisi na…

Read More

Mkutano Mkuu wa mwaka wa WIPO umefunguliwa leo tarehe 14 Julai 2022, Geneva Uswisi

Mkutano Mkuu wa mwaka wa WIPO umefunguliwa leo tarehe 14 Julai 2022, Geneva Uswisi. Katika picha ni Ujumbe wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania uliongozwa na Mhe. Maimuna K. Tarishi, Balozi na Mwakilishi wa…

Read More

Waziri wa Katiba na Sheria, Dkt. Damas Ndumbaro ameongoza kikao na Wataalam wa Haki za Binadamu wa Umoja wa Mataifa

*Serikali yazungumza na Wataalam wa Haki za Binadamu (Special Rapporteurs) wa Umoja wa Mataifa*Waziri wa Katiba na Sheria, Dkt. Damas Ndumbaro ameongoza kikao na Wataalam wa Haki za Binadamu (Special…

Read More

Mhe. Maimuna Tarishi, Balozi na Mwakilishi wa Kudumu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Umoja wa Mataifa, Geneva ampongeza Bi. Michelle Bachelet

Tarehe 29 Juni 2022, Mhe. Maimuna Tarishi, Balozi na Mwakilishi wa Kudumu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Umoja wa Mataifa, Geneva alimpongeza Bi. Michelle Bachelet kufuatia kumaliza kwa muda wake katika…

Read More

Mhe.Omar S. Shaaban, Waziri wa Biashara na Maendeleo ya Viwanda, Zanzibar katika Mkutano wa 12 wa Shirika la Biashara Duniani (WTO)

Mhe.Omar S. Shaaban, Waziri wa Biashara na Maendeleo ya Viwanda, Zanzibar ambaye ameongoza Ujumbe wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania katika Mkutano wa 12 wa Shirika la Biashara Duniani (WTO) wa Mawaziri…

Read More

Mhe. Prof. JOYCE Ndalichako akihututubia katika Mkutano Mkuu wa Shirika la Kazi Duniani tarehe 7 Juni 2022

Mhe. Prof. JOYCE Ndalichako akihututubia katika Mkutano Mkuu wa Shirika la Kazi Duniani tarehe 7 Juni 2022, ambapo ametoa salamu za Mhe. Rais Samia Suluhu Hassan na kueleza juhudi zinazofanywa na Rais wa…

Read More

Mhe. BaloziTarishi akutana na Rais wa Baraza la Haki za Binadamu

Tarehe 28 Aprili 2022, Mhe. Maimuna Tarishi, Balozi na Mwakilishi wa Kudumu Geneva alikutana na kufanya mazungumzo na Rais wa Baraza la Haki za Binadamu, Balozi Federico Villegas (Mwakilishi wa Kudumu wa…

Read More