News and Resources Change View → Listing

Mhe. Maimuna Tarishi, Balozi na Mwakilishi wa Kudumu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Geneva akutana na Katibu Mkuu Msaidizi wa Umoja wa Mataifa, Bw. Fernandez-Taranco

Katika picha ni Mhe. Maimuna Tarishi, Balozi na Mwakilishi wa Kudumu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania katika Ofisi za Umoja wa Mataifa Geneva, akiwa amekutana na Bw. Fernandez-Taranco, Katibu Mkuu Msaidizi…

Read More

Vijana wabunifu kutoka Tanzania watembelea Ubalozi wa Kudumu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Geneva

Vijana sita kutoka Tanzania walioshiriki katika mradi wa uvumbuzi katika chuo cha École Polytechnique Féderale de Lausanne (Swiss Federal Institute of Technology Lausanne)  kwa ufadhili wa Serikali ya…

Read More

Katibu Mkuu , Wizara ya Afya na Naibu Katibu Mkuu TAMISEMI watembelea Ubalozi wa Kudumu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Geneva

Prof. Abel Makubi, Katibu Mkuu Wizara ya Afya na Dkt. Grace Magembe, Naibu Katibu Mkuu, OR TAMISEMI washiriki  kikao kazi cha Mfuko wa Dunia wa kupambana na UKIMWI, Kifua Kikuu na Malaria (Global Fund)…

Read More

United Nations Office at Geneva (UNOG) - Vacancy Announcements

https://careers.un.org/lbw/jobdetail.aspx?id=193498&lang=en-US 

Read More